Maono
Kujitolea kwa nguvu kwa kazi yenye ujuzi
Dhamira
Kutoa ubora wa kiufundi na mafunzo kwa uhandisi na tevhnologia kwa mabadiliko ya kitaifa na lengo
Maadili ya Msingi
Weledi, Shauku, Utawala Bora, Uadilifu, Uwajibikaji, Kazi ya Pamoja, Ubunifu na Ubunifu, Kuzingatia Mteja.
N |
SEHEMU YA HUDUMA |
HUDUMA INAYOTOLEWA |
VIWANGO NA KANUNI YA HUDUMA INAYOTOLEWA |
GHARAMA |
MUDA |
01 |
Lango kuu |
Kupokea na kuelekeza wageni |
Wageni kujiandikisha katika kitabu cha mapokezi |
Bure |
Anapowasili |
02 |
Afisi ya katibu |
Kushughulikia nyaraka |
Nyaraka zote zitaelekezwa kwa afisi husika |
Bure |
Papo hapo |
03 |
Afisi ya mhadhiri mkuu |
Usimamizii
|
Ofisi itakua wazi tokea jumatatu hadi ijumaa |
Bure |
8:00-5:00 |
mawasiliano |
Barua zote zitakazo pokelewa zitajibiwa |
Bure |
Siku 3-5 |
||
Mapendekezo |
Maombi ya mapendekezo yatatolewa |
Bure |
Papo hapo |
||
04 |
Afisi ya naibu wa mhadhiri mkuu |
Utenda kazi |
Ofisi itakua wazi tokea jumatatu hadi ijumaa |
Bure |
8:00-5:00 |
mawasiliano |
Simu zote zitakazo pigwa zitapokelewa |
Bure |
Papo hapo |
||
Barua zote zitakazo pokelewa zitajibiwa |
|
Siku 3-5 |
|||
05 |
Afisi ya usajili |
Ingizo chuoni |
Wanafunzi watasajiliwa pinde tu watakapo wasilisha vyeti vya (K.C.S.E/ K.C.P.E) |
Shilingi.500 |
Dakika 10-20 |
Usajili |
Wanafunzi watasajiliwa na kupokelewa baada ya kuwasilisha stakabadhi za benki |
Karo ya muhula |
Siku moja |
||
Kupokea simu |
Simu zitajibiwa |
free |
Papo hapo |
||
06
|
Afisi ya mitihani |
Usajili wa mtihani wa kitaifa |
Usajili utafanyika kwa wale waliomaliza kulipa karo na ada ya mtihani wa kitaifa (KNEC) |
Malipo ya kozi |
Wiki kabla ya usajili kumalizika |
Kukabidhi ratiba |
Katiba za masomo kukabidhiwa kwa wakurufunzi wote |
Bure |
Wiki moja |
||
Mtihani |
Ratiba ya mtihani wa ndani |
Bure |
Majuma 2 kabla ya mtihani |
||
Matokeo |
Kupeana nukuu ya maendeleo ya masomo kwa wanafunzi |
Bure |
Kabla ya kufungua |
||
07 |
Afisi ya mhasaibu |
Malipo ya karo |
Risiti zitatolewa pindi unapo wasilisha stakabadhi ya malipo |
Bure |
Dakika 5 |
08 |
Afisi ya msimamizi wa wanafunzi |
Kupeana vitambulisho vya shule |
Kupeana vitambulisho vya shule kwa wanafunzi wote |
bure |
Ndani ya siku thelathini baada ya kulipa karo |